James 4:16
Kama ilivyo sasa, mnajisifu na kujigamba. Kujisifu kwa namna hiyo ni uovu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But now ye rejoice in your boastings: all such rejoicing is evil.
In Context
15Badala yake, inawapasa kusema, “Kama Bwana akipenda, tutaishi na kufanya hili ama lile.”
17Basi mtu yeyote anayejua jema limpasalo kutenda, lakini asilitende, mtu huyo anatenda dhambi.
Cross References
Psalms 52:7“Huyu ni yule mtu ambaye 2 hakumfanya Mungu kuwa ngome yake, 1 bali alitumainia wingi wa utajiri wake, 2 na akawa hodari kwa kuwaangamiza wengine!” 1 Neema Ya Mungu 1
Proverbs 27:1Usijisifu kwa ajili ya kesho, 2 kwa kuwa hujui ni nini kitakachozaliwa kwa siku moja. 1
Isaiah 47:10Umeutegemea uovu wako, 2 nawe umesema, ‘Hakuna yeyote anionaye.’ 1 Hekima yako na maarifa yako vinakupoteza 2 unapojiambia mwenyewe, 2 ‘Mimi ndiye, wala hakuna mwingine zaidi yangu.’ 1
1 Corinthians 5:6Majivuno yenu si mazuri. Je, hamjui ya kwamba chachu kidogo huchachusha donge zima la unga?
Revelation 18:7Mpatie mateso na huzuni nyingi sawa na 2 utukufu na anasa alizojipatia. 1 Kwa kuwa moyoni mwake hujivuna, akisema, 2 ‘Mimi ninatawala kama malkia; 2 mimi si mjane, wala sitaona huzuni kamwe.’ 1