The Bible Software
bible.softwareJamesJames 4 › James 4:2

James 4:2

Mnatamani lakini hampati, kwa hiyo mwaua. Mwatamani kupata lakini hampati vile mnavyotaka, kwa hiyo mnajitia katika magomvi na mapigano. Mmepungukiwa kwa sababu hammwombi Mungu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Ye lust, and have not: ye kill, and desire to have, and cannot obtain: ye fight and war, yet ye have not, because ye ask not.

In Context

1Ni kitu gani kinachosababisha mapigano na ugomvi miongoni mwenu? Je, haya hayatokani na tamaa zenu zinazoshindana ndani yenu?

3Mnapoomba hampati kwa sababu mnaomba kwa nia mbaya, ili mpate kuvitumia hivyo mtakavyopata kwa tamaa zenu.

Read all of James 4

Cross References

1 Kings 21:6Akamjibu, “Kwa sababu nilimwambia Nabothi, Myezreeli, ‘Niuzie shamba lako la mizabibu, au kama ukipenda, nitakupa shamba jingine la mizabibu badala yake.’ Lakini akasema, ‘Sitakupa shamba langu la mizabibu.’ ”

Ecclesiastes 4:8Kulikuwepo mwanadamu aliye peke yake, 2 hakuwa na mwana wala ndugu. 1 Hapakuwa na mwisho wa kazi yake, 2 hata hivyo macho yake 2 hayakutosheka na utajiri wake. 1 Aliuliza, “Ninajitaabisha hivi kwa ajili ya nani, 2 nami kwa nini ninajinyima kufurahia?” 1 Hili pia ni ubatili, 2 ni shughuli yenye taabu! 1

Habakkuk 2:5hakika mvinyo humsaliti; 2 ni mwenye kiburi na hana amani. 1 Kwa sababu ni mlafi kama kuzimu 2 na kama kifo kamwe hatosheki; 1 anajikusanyia mataifa yote 2 na kuchukua watu wote mateka.

Luke 11:9“Kwa hiyo nawaambia: Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa mlango.

John 16:24Mpaka sasa hamjaomba jambo lolote kwa Jina langu. Ombeni nanyi mtapewa, ili furaha yenu ipate kuwa kamili. 1 Amani Kwa Wanafunzi

James 1:5Kama mtu yeyote miongoni mwenu amepungukiwa na hekima na amwombe Mungu, yeye awapaye watu wote kwa ukarimu wala hana kinyongo, naye atapewa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study James 4:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← James 4:1James 4James 4:3 →