James 5:2
Utajiri wenu umeoza na mavazi yenu yameliwa na nondo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Your riches are corrupted, and your garments are motheaten.
In Context
1Basi sikilizeni, ninyi matajiri, lieni na kuomboleza kwa ajili ya hali mbaya sana inayowajia.
Cross References
Job 13:28“Hivyo mwanadamu huangamia kama kitu kilichooza, 2 kama vazi lililoliwa na nondo.
Isaiah 50:9Ni Bwana Mwenyezi anisaidiaye mimi. 2 Ni nani huyo atakayenihukumu? 1 Wote watachakaa kama vazi, 2 nondo watawala wawamalize. 1
Jeremiah 17:11Kama kware aanguaye mayai asiyoyataga, 2 ndivyo alivyo mtu apataye mali kwa njia zisizo za haki. 1 Maisha yake yafikapo katikati, siku zitamwacha, 2 na mwishoni atabainika kuwa mpumbavu. 1
Matthew 6:19“Msijiwekee hazina duniani, mahali ambapo nondo na kutu huharibu, nao wevi huvunja na kuiba.
James 2:2Kwa maana kama akija mtu katika kusanyiko lenu akiwa amevaa pete ya dhahabu na mavazi mazuri, pia akaingia mtu maskini mwenye mavazi yaliyochakaa,