James 5:3
Dhahabu yenu na fedha yenu vimeliwa na kutu. Kutu yake itashuhudia dhidi yenu nayo itaila miili yenu kama vile moto. Mmejiwekea hazina kwa ajili ya siku za mwisho.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Utajiri wenu umeoza na mavazi yenu yameliwa na nondo.
Cross References
Genesis 31:48Labani akasema, “Lundo hili ni shahidi kati yako na mimi leo.” Ndiyo maana likaitwa Galeedi.
Genesis 49:1Ndipo Yakobo akawaita wanawe na kusema: “Kusanyikeni kunizunguka ili niweze kuwaambia lile litakalowatokea siku zijazo. 1
Joshua 24:27Yoshua akawaambia watu wote, “Angalieni! Jiwe hili litakuwa shahidi juu yetu. Limesikia maneno yote Bwana aliyotuambia. Litakuwa shahidi juu yenu kama mtakuwa waongo kwa Mungu wenu.” 1 Kuzikwa Katika Nchi Ya Ahadi
Job 16:8Umenikunjakunja, nalo limekuwa ushahidi; 2 nako kukonda kwangu kumeongezeka sana na kushuhudia dhidi yangu. 1
Jeremiah 19:9Nitawafanya wao kula nyama ya wana wao na binti zao; kila mmoja atakula nyama ya mwenzake wakati wa dhiki ya kuzungukwa na jeshi lililowekwa juu yao na adui wanaotafuta uhai wao.’
Micah 4:1Katika siku za mwisho 1 mlima wa Hekalu la Bwana utaimarishwa 2 kama mlima mkuu miongoni mwa milima yote; 1 utainuliwa juu ya vilima, 2 na watu wa mataifa watamiminika humo.