James 5:4
Angalieni! Ule ujira wa vibarua waliolima mashamba yenu mliouzuia kwa hila unapiga kelele dhidi yenu na vilio vya wavunaji vimefika masikioni mwa Bwana Mwenye Nguvu Zote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Mmeishi duniani kwa anasa na kwa starehe, mmejinenepesha tayari kwa siku ya kuchinjwa.
Cross References
Exodus 2:23Baada ya muda mrefu, mfalme wa Misri akafa. Waisraeli wakalia kwa huzuni katika utumwa wao, walilia na kilio chao cha kutaka msaada kwa ajili ya utumwa kikamfikia Mungu.
Exodus 22:22“Usimdhulumu mjane wala yatima.
Leviticus 19:13“ ‘Usimdhulumu wala kumwibia jirani yako. “ ‘Usishikilie mshahara wa kibarua usiku kucha hadi asubuhi.
Job 7:2Kama mtumwa anavyovionea shauku vivuli vya jioni, 2 au mtu aliyeajiriwa anavyoungojea mshahara wake, 1
Job 31:38“Kama nchi yangu inalia dhidi yangu, 2 na mifereji yake yote imelowana kwa machozi, 1
Psalms 9:12Kwa maana yeye alipizaye kisasi cha damu hukumbuka, 2 hapuuzi kilio cha wanaoonewa. 1