The Bible Software
bible.softwareJamesJames 5 › James 5:8

James 5:8

Ninyi nanyi vumilieni, tena simameni imara, kwa sababu kuja kwa Bwana kumekaribia.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Be ye also patient; stablish your hearts: for the coming of the Lord draweth nigh.

In Context

7Kwa hiyo, ndugu zangu, vumilieni hadi kuja kwake Bwana. Angalieni jinsi mkulima angojavyo ardhi itoe mavuno yake yaliyo ya thamani na jinsi anavyovumilia kwa ajili ya kupata mvua za kwanza na za mwisho.

9Ndugu zangu, msinungʼunikiane msije mkahukumiwa. Hakimu amesimama mlangoni!

Read all of James 5

Cross References

Psalms 27:14Mngojee Bwana, 2 uwe hodari na mwenye moyo mkuu, 2 nawe, umngojee Bwana.

Psalms 40:1Nilimngoja Bwana kwa saburi, 2 naye akaniinamia, akasikia kilio changu. 1

Lamentations 3:25Bwana ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake, 2 kwa yule ambaye humtafuta; 1

Habakkuk 2:3Kwa kuwa ufunuo huu unasubiri wakati uliokubalika; 2 unazungumzia mambo ya mwisho, 2 na kamwe hautakosea. 1 Iwapo utakawia, wewe usubiri; 2 kwa hakika utakuja na hautachelewa. 1

Romans 13:11Nanyi fanyeni hivi, mkiutambua wakati tulio nao. Saa ya kuamka kutoka usingizini imewadia, kwa maana sasa wokovu wetu umekaribia zaidi kuliko hapo kwanza tulipoamini.

Philippians 4:5Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study James 5:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← James 5:7James 5James 5:9 →