Yeremia 10:2
Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Usijifunze njia za mataifa 2 wala usitishwe na ishara katika anga, 2 ingawa mataifa yanatishwa nazo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Sikieni lile ambalo Bwana, anena nanyi ee nyumba ya Israeli.
Cross References
Leviticus 18:3Msifanye kama wafanyavyo huko Misri, mahali mlipokuwa mnaishi, wala msifanye kama wanavyofanya katika nchi ya Kanaani, mahali ninapowapeleka. Msifuate matendo yao.
Deuteronomy 12:30na baada ya kuangamizwa mbele yenu, mwe waangalifu msijiingize katika tanzi kwa kuuliza habari za miungu yao, mkisema, “Je, mataifa haya hutumikiaje miungu yao? Nasi tutafanya vivyo hivyo.”
Isaiah 47:12“Endelea basi na uaguzi wako, 2 na wingi wa uchawi wako, 2 ambao umeutumikia tangu utoto wako. 1 Labda utafanikiwa, 2 labda unaweza ukasababisha hofu kuu. 1
Luke 21:25“Kutakuwa na ishara katika jua, mwezi na nyota. Hapa duniani, mataifa yatakuwa katika dhiki na fadhaa kutokana na ngurumo na misukosuko ya bahari.