Yeremia 10:7
Ni nani ambaye haimpasi kukuheshimu wewe, 2 Ee Mfalme wa mataifa? 2 Hii ni stahili yako. 1 Miongoni mwa watu wote wenye hekima 2 katika mataifa na katika falme zao zote, 2 hakuna aliye kama wewe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Hakuna aliye kama wewe, Ee Bwana; 2 wewe ni mkuu, 2 jina lako ni lenye nguvu katika uweza. 1
8Wote hawana akili, tena ni wapumbavu, 2 wanafundishwa na sanamu za miti zisizofaa lolote. 1
Cross References
Joshua 4:24Alifanya hivi ili kwamba mataifa yote ya dunia yapate kujua kuwa mkono wa Bwana ni wenye nguvu, na ili kwamba kila wakati mpate kumcha Bwana Mungu wenu.”
1 Chronicles 16:25Kwa kuwa Bwana ni mkuu, 2 mwenye kustahili kusifiwa kuliko wote; 2 yeye ni wa kuogopwa kuliko miungu yote. 1
Psalms 22:28kwa maana ufalme ni wa Bwana 2 naye hutawala juu ya mataifa. 1
Psalms 72:11Wafalme wote watamsujudia 2 na mataifa yote yatamtumikia. 1
Psalms 86:8Ee Bwana, katikati ya miungu hakuna kama wewe, 2 hakuna matendo ya kulinganishwa na yako. 1
Psalms 89:6Kwa kuwa ni nani katika mbingu 2 anayeweza kulinganishwa na Bwana? 1 Ni nani miongoni mwa viumbe vya mbinguni 2 aliye kama Bwana? 1