The Bible Software
bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 16 › 1 Nyakati 16:25

1 Nyakati 16:25

Kwa kuwa Bwana ni mkuu, 2 mwenye kustahili kusifiwa kuliko wote; 2 yeye ni wa kuogopwa kuliko miungu yote. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For great is the LORD, and greatly to be praised: he also is to be feared above all gods.

In Context

24Tangazeni utukufu wake katikati ya mataifa, 2 matendo yake ya ajabu miongoni mwa mataifa yote. 1

26Kwa maana miungu yote ya mataifa ni sanamu, 2 lakini Bwana aliziumba mbingu. 1

Read all of 1 Nyakati 16

Cross References

Exodus 15:11“Ni nani miongoni mwa miungu aliye kama wewe, Ee Bwana? 2 Ni nani kama Wewe: 3 uliyetukuka katika utakatifu, 3 utishaye katika utukufu, 3 ukitenda maajabu? 1

Psalms 76:7Wewe peke yako ndiye wa kuogopwa. 2 Ni nani awezaye kusimama mbele yako unapokasirika? 1

Psalms 89:7Katika kusanyiko la watakatifu, Mungu huogopwa sana, 2 anahofiwa kuliko wote wanaomzunguka. 1

Psalms 145:3Bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, 2 ukuu wake haupimiki. 1

Jeremiah 5:22Je, haiwapasi kuniogopa mimi?” asema Bwana. 2 “Je, haiwapasi kutetemeka mbele zangu? 1 Niliufanya mchanga kuwa mpaka wa bahari, 2 kizuizi cha milele ambacho haiwezi kupita. 1 Mawimbi yanaweza kuumuka, lakini hayawezi kuupita; 2 yanaweza kunguruma, lakini hayawezi kuuvuka. 1

Jeremiah 10:7Ni nani ambaye haimpasi kukuheshimu wewe, 2 Ee Mfalme wa mataifa? 2 Hii ni stahili yako. 1 Miongoni mwa watu wote wenye hekima 2 katika mataifa na katika falme zao zote, 2 hakuna aliye kama wewe. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 16:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 16:241 Nyakati 161 Nyakati 16:26 →