Yeremia 13:25
Hii ndiyo kura yako, 2 fungu nililokuamuria,” 4 asema Bwana, 1 “kwa sababu umenisahau mimi 2 na kuamini miungu ya uongo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24“Nitawatawanya kama makapi 2 yapeperushwayo na upepo wa jangwani. 1
26Nitayafunua marinda yako mpaka juu ya uso wako 2 ili aibu yako ionekane: 1
Cross References
Deuteronomy 32:37Atasema: “Sasa iko wapi miungu yao, 2 mwamba walioukimbilia, 1
Psalms 9:17Waovu wataishia kuzimu, 2 naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu. 1
Psalms 106:21Walimsahau Mungu aliyewaokoa, 2 aliyekuwa ametenda mambo makuu huko Misri, 1
Isaiah 28:15Ninyi mnajisifu, “Tumefanya agano na mauti, 2 tumefanya mapatano na kuzimu. 1 Wakati pigo lifurikalo litakapopita, 2 haliwezi kutugusa sisi, 1 kwa kuwa tumefanya uongo kuwa kimbilio letu 2 na miungu ya uongo kuwa mahali petu pa kujificha.”
Jeremiah 2:13“Watu wangu wametenda dhambi mbili: 2 Wameniacha mimi, 2 niliye chemchemi ya maji yaliyo hai, 1 nao wamejichimbia visima vyao wenyewe, 2 visima vilivyobomoka, visivyoweza kuhifadhi maji. 1
Jeremiah 7:4Msitumainie maneno ya udanganyifu na kusema, “Hili ni Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana!”