The Bible Software
bible.softwareYeremiaYeremia 13 › Yeremia 13:26

Yeremia 13:26

Nitayafunua marinda yako mpaka juu ya uso wako 2 ili aibu yako ionekane: 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore will I discover thy skirts upon thy face, that thy shame may appear.

In Context

25Hii ndiyo kura yako, 2 fungu nililokuamuria,” 4 asema Bwana, 1 “kwa sababu umenisahau mimi 2 na kuamini miungu ya uongo. 1

27uzinzi wako na kulia kwako kama farasi kulikojaa tamaa, 2 ukahaba wako usio na aibu! 1 Nimeyaona matendo yako ya machukizo 2 juu ya vilima na mashambani. 1 Ole wako, ee Yerusalemu! 2 Utaendelea kuwa najisi mpaka lini?”

Read all of Yeremia 13

Cross References

Isaiah 47:3Uchi wako utafunuliwa 2 na aibu yako itaonekana. 1 Nitalipa kisasi; 2 sitamhurumia hata mmoja.” 1

Lamentations 1:8Yerusalemu ametenda dhambi sana 2 kwa hiyo amekuwa najisi. 1 Wote waliomheshimu wanamdharau, 2 kwa maana wameuona uchi wake. 1 Yeye mwenyewe anapiga kite 2 na kugeukia mbali. 1

Ezekiel 23:29Watakushughulikia kwa chuki na kukunyangʼanya kila kitu ulichokifanyia kazi. Watakuacha uchi na mtupu na aibu ya ukahaba wako itafunuliwa. Uasherati wako na uzinzi wako

Hosea 2:12Nitaiharibu mizabibu yake na mitini yake, 2 ambayo alisema yalikuwa malipo yake 2 kutoka kwa wapenzi wake; 1 nitaifanya kuwa kichaka, 2 nao wanyama pori wataila. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 13:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 13:25Yeremia 13Yeremia 13:27 →