Yeremia 15:13
Utajiri wako na hazina zako nitavitoa kuwa nyara, 2 bila gharama, 1 kwa sababu ya dhambi zako zote 2 katika nchi yako yote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12“Je, mtu aweza kuvunja chuma, 2 chuma kitokacho kaskazini, au shaba? 1
Cross References
Isaiah 52:3Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Mliuzwa pasipo malipo, 2 nanyi mtakombolewa bila fedha.”
Jeremiah 15:8Nitawafanya wajane wao kuwa wengi 2 kuliko mchanga wa bahari. 1 Wakati wa adhuhuri nitamleta mharabu 2 dhidi ya mama wa vijana wao waume; 1 kwa ghafula nitaleta juu yao 2 maumivu makuu na hofu kuu. 1
Jeremiah 20:5Nitatia utajiri wote wa mji huu kwa adui zao: yaani mazao yao yote, vitu vyao vyote vya thamani, na hazina zote za wafalme wa Yuda. Watavitwaa kwa nyara na kuvipeleka Babeli.