Yeremia 16:2
“Kamwe usioe na kuwa na wana wala binti mahali hapa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou shalt not take thee a wife, neither shalt thou have sons or daughters in this place.
In Context
1Kisha neno la Bwana likanijia:
Cross References
Jeremiah 29:6Oeni wake na mzae wana na binti, waozeni wana wenu wake, nanyi watoeni binti zenu waolewe, ili nao pia wazae wana na binti. Ongezekeni idadi yenu huko, wala msipungue.
Luke 21:23Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo! Kutakuwa na dhiki kuu katika nchi na ghadhabu juu ya hawa watu.
1 Corinthians 7:26Kwa sababu ya shida iliyoko kwa sasa, naona ni vyema mkibaki kama mlivyo.