Jeremiah 17:13
Ee Bwana, uliye tumaini la Israeli, 2 wote wakuachao wataaibika. 1 Wale wanaogeukia mbali nawe wataandikwa mavumbini 2 kwa sababu wamemwacha Bwana, 2 chemchemi ya maji yaliyo hai. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 22:4Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao, 2 walikutumaini nawe ukawaokoa. 1
Psalms 69:29Mimi niko katika maumivu na dhiki; 2 Ee Mungu, wokovu wako na unihifadhi. 1
Psalms 97:7Wote waabuduo sanamu waaibishwa, 2 wale wajisifiao sanamu: 2 mwabuduni yeye, enyi miungu yote! 1
Proverbs 14:14Wasio na imani watapatilizwa kikamilifu kwa ajili ya njia zao, 2 naye mtu mwema atapewa thawabu kwa ajili ya njia yake. 1
Isaiah 45:16Wote watengenezao sanamu wataaibika na kutahayarika; 2 wataenda kutahayarika pamoja. 1
Isaiah 66:5Sikieni neno la Bwana, 2 ninyi mtetemekao kwa neno lake: 1 “Ndugu zenu wanaowachukia ninyi 2 na kuwatenga ninyi kwa sababu ya Jina langu, wamesema, 1 ‘ Bwana na atukuzwe, 2 ili tupate kuona furaha yenu!’ 2 Hata sasa wataaibika. 1