Isaya 66:5
Sikieni neno la Bwana, 2 ninyi mtetemekao kwa neno lake: 1 “Ndugu zenu wanaowachukia ninyi 2 na kuwatenga ninyi kwa sababu ya Jina langu, wamesema, 1 ‘ Bwana na atukuzwe, 2 ili tupate kuona furaha yenu!’ 2 Hata sasa wataaibika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 22:10Ndipo Shafani mwandishi akampasha mfalme habari kwamba: “Hilkia kuhani amenipa kitabu hiki.” Naye Shafani akakisoma kile kitabu mbele ya mfalme.
Ezra 9:4Kisha kila mmoja aliyetetemeshwa na maneno ya Mungu wa Israeli alikusanyika kunizunguka kwa sababu ya upotovu huu wa hao watu waliorudi kutoka utumwani. Nami niliketi pale nikishangaa mpaka wakati wa dhabihu ya jioni.
Psalms 119:120Mwili wangu unatetemeka kwa kukuogopa wewe, 2 ninaziogopa sheria zako. 2 Kuitii Sheria Ya Bwana 1
Song of Solomon 1:6Usinikazie macho kwa sababu mimi ni mweusi, 2 kwa sababu nimefanywa mweusi na jua. 1 Wana wa mama yangu walinikasirikia 2 na kunifanya niwe mtunza mashamba ya mizabibu. 2 Shamba langu mwenyewe la mizabibu nimeliacha. 1
Isaiah 26:11Ee Bwana, mkono wako umeinuliwa juu, 2 lakini hawauoni. 1 Wao na waone wivu wako kwa ajili ya watu wako tena waaibishwe, 2 moto uliowekwa akiba kwa ajili ya adui zako na uwateketeze. 1
Isaiah 66:2Je, mkono wangu haukufanya vitu hivi vyote, 2 hivyo vikapata kuwepo?” 4 asema Bwana. 1 “Mtu huyu ndiye ninayemthamini: 2 yeye ambaye ni mnyenyekevu 1 na mwenye roho yenye toba, 2 atetemekaye asikiapo neno langu. 1