The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 17 › Yeremia 17:2

Yeremia 17:2

Hata watoto wao wanakumbuka madhabahu zao 2 na nguzo za Ashera, + 17:2 Ashera ni mungu mke aliyekuwa anaabudiwa na Wakanaani. 1 kandokando ya miti iliyotanda 2 na juu ya vilima virefu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Whilst their children remember their altars and their groves by the green trees upon the high hills.

In Context

1“Dhambi ya Yuda imechorwa kwa kalamu ya chuma, 2 imeandikwa kwa ncha ya almasi, 1 kwenye vibao vya mioyo yao 2 na kwenye pembe za madhabahu zao. 1

3Mlima wangu katika nchi pamoja na utajiri 2 na hazina zako zote nitazitoa ziwe nyara, 1 pamoja na mahali pako pa juu pa kuabudia miungu 2 kwa sababu ya dhambi katika nchi yako yote. 1

Read all of Yeremia 17

Cross References

Judges 3:7Waisraeli wakafanya maovu machoni pa Bwana, wakamsahau Bwana Mungu wao na kutumikia Mabaali na Maashera.

2 Chronicles 33:3Akajenga upya mahali pa juu pa kuabudia miungu ambapo Hezekia baba yake, alikuwa amepabomoa, pia akasimamisha madhabahu za Mabaali na nguzo za Maashera. Akalisujudia jeshi lote la angani na kuliabudu.

Psalms 78:58Wakamkasirisha Mungu kwa mahali pao pa juu pa kuabudia miungu, 2 wakachochea wivu wake kwa sanamu zao. 1

Isaiah 17:8Hawataziangalia tena madhabahu, 2 kazi za mikono yao, 1 nao hawataheshimu nguzo za Ashera, + 17:8 Ashera hapa maana yake ni mungu mke aliyekuwa akiabudiwa pamoja na Baali. 2 na madhabahu za kufukizia uvumba zilizofanywa kwa mikono yao.

Jeremiah 7:18Watoto wanakusanya kuni, baba zao wanawasha moto, na wanawake wanakanda unga na kuoka mikate kwa ajili ya Malkia wa Mbinguni. Wanamimina sadaka za vinywaji kwa miungu mingine ili kunikasirisha.

Hosea 4:13Wanatoa dhabihu juu ya vilele vya milima 2 na sadaka za kuteketezwa juu ya vilima, 1 chini ya mialoni, milibua na miela, 2 ambako kuna vivuli vizuri. 1 Kwa hiyo binti zenu wamegeukia ukahaba 2 na wake za wana wenu uzinzi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 17:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 17:1Yeremia 17Yeremia 17:3 →