Yeremia 17:3
Mlima wangu katika nchi pamoja na utajiri 2 na hazina zako zote nitazitoa ziwe nyara, 1 pamoja na mahali pako pa juu pa kuabudia miungu 2 kwa sababu ya dhambi katika nchi yako yote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 24:13Kama vile Bwana alivyokuwa amesema, Nebukadneza akaondoa hazina yote kutoka Hekalu la Bwana na kutoka jumba la mfalme, akavichukua vyombo vyote vya dhahabu ambavyo Solomoni mfalme wa Israeli alikuwa amevitengeneza kwa ajili ya Hekalu la Bwana.
Isaiah 2:2Katika siku za mwisho 1 mlima wa Hekalu la Bwana utaimarishwa 2 kama mlima mkuu miongoni mwa milima yote, 1 utainuliwa juu ya vilima, 2 na mataifa yote yatamiminika huko.
Isaiah 39:4Nabii akauliza, “Waliona nini katika jumba lako la kifalme?” Hezekia akajibu, “Waliona kila kitu katika jumba langu la kifalme. Hakuna kitu chochote katika hazina yangu ambacho sikuwaonyesha.”
Jeremiah 15:13Utajiri wako na hazina zako nitavitoa kuwa nyara, 2 bila gharama, 1 kwa sababu ya dhambi zako zote 2 katika nchi yako yote. 1
Jeremiah 26:18“Mika Mmoreshethi alitoa unabii katika siku za Hezekia mfalme wa Yuda. Akawaambia watu wote wa Yuda, ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “ ‘Sayuni italimwa kama shamba, 2 Yerusalemu itakuwa lundo la kokoto, 1 na kilima cha Hekalu kitakuwa kichuguu 2 kilichofunikwa na vichaka.’
Lamentations 1:10Adui ametia mikono 2 juu ya hazina zake zote, 1 aliona mataifa ya kipagani 2 wakiingia mahali patakatifu pake, 1 wale uliowakataza kuingia 2 kwenye kusanyiko lako. 1