Yeremia 2:12
Shangaeni katika hili, ee mbingu, 2 nanyi tetemekeni kwa hofu kuu,” 4 asema Bwana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Be astonished, O ye heavens, at this, and be horribly afraid, be ye very desolate, saith the LORD.
In Context
Cross References
Isaiah 1:2Sikieni, enyi mbingu! Sikilizeni, enyi dunia! 2 Kwa maana Bwana amesema: 1 “Nimewalisha watoto na kuwalea, 2 lakini wameniasi mimi. 1
Jeremiah 6:19Sikia, ee nchi: 1 Ninaleta maafa juu ya watu hawa, 2 matunda ya mipango yao, 1 kwa sababu hawakusikiliza maneno yangu 2 na wameikataa sheria yangu. 1
Jeremiah 22:29Ee nchi, nchi, nchi, 2 sikia neno la Bwana! 1
Matthew 27:45Tangu saa sita hadi saa tisa giza liliifunika nchi yote.