Yeremia 2:11
Je, taifa limebadili miungu yake wakati wowote? 2 (Hata ingawa hao si miungu kamwe.) 1 Lakini watu wangu wamebadili Utukufu wao 2 kwa sanamu zisizofaa kitu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Shangaeni katika hili, ee mbingu, 2 nanyi tetemekeni kwa hofu kuu,” 4 asema Bwana. 1
Cross References
Deuteronomy 32:21Wamenifanya niwe na wivu 2 kwa kile ambacho si mungu, 1 na kunikasirisha kwa sanamu zao 2 zisizokuwa na thamani. 1 Nitawafanya wawaonee wivu wale ambao si taifa. 2 Nitawafanya wakasirishwe 2 na taifa lile lisilo na ufahamu. 1
1 Kings 11:33Nitafanya hivi kwa sababu wameniacha mimi na kuabudu Ashtorethi mungu mke wa Wasidoni, Kemoshi mungu wa Wamoabu, na Moleki mungu wa Waamoni, nao hawakwenda katika njia zangu ili kufanya yaliyo sawa machoni pangu, wala kushika amri na sheria zangu kama Daudi, babaye Solomoni, alivyofanya.
Psalms 3:3Lakini wewe, Ee Bwana, ni ngao pande zote; 2 umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu. 1
Psalms 115:4Lakini sanamu zao ni za fedha na dhahabu, 2 zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu. 1
Jeremiah 2:5Hivi ndivyo asemavyo Bwana: 1 “Je, baba zenu waliona kosa gani kwangu, 2 hata wakatangatanga mbali nami hivyo? 1 Walifuata sanamu zisizofaa, 2 nao wenyewe wakawa hawafai. 1
Jeremiah 5:7“Kwa nini niwasamehe? 2 Watoto wenu wameniacha na kuapa kwa miungu ambayo si miungu. 1 Niliwapatia mahitaji yao yote, 2 lakini bado wamefanya uzinzi na kusongana katika nyumba za makahaba. 1