The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 2 › Yeremia 2:14

Yeremia 2:14

Je, Israeli ni mtumishi, yaani mtumwa kwa kuzaliwa? 2 Kwa nini basi amekuwa mateka? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Is Israel a servant? is he a homeborn slave? why is he spoiled?

In Context

13“Watu wangu wametenda dhambi mbili: 2 Wameniacha mimi, 2 niliye chemchemi ya maji yaliyo hai, 1 nao wamejichimbia visima vyao wenyewe, 2 visima vilivyobomoka, visivyoweza kuhifadhi maji. 1

15Simba wamenguruma; 2 wamemngurumia. 1 Wameifanya nchi yake kuwa ukiwa; 2 miji yake imeteketezwa, nayo imeachwa haina watu. 1

Read all of Yeremia 2

Cross References

Genesis 15:3Abramu akasema, “Hukunipa watoto, hivyo mtumishi katika nyumba yangu ndiye atakuwa mrithi wangu.”

Ecclesiastes 2:7Nikanunua watumwa wa kiume na wa kike na watumwa wengine walizaliwa nyumbani mwangu. Pia nilikuwa na makundi ya ngʼombe, kondoo na mbuzi kuliko mtu yeyote aliyewahi kuishi Yerusalemu kabla yangu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 2:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 2:13Yeremia 2Yeremia 2:15 →