The Bible Software
bible.softwareYeremiaYeremia 2 › Yeremia 2:3

Yeremia 2:3

Israeli alikuwa mtakatifu kwa Bwana, 2 kama malimbuko ya kwanza ya mavuno yake; 1 wote waliowaangamiza walihesabiwa kuwa na hatia, 2 nayo maafa yaliwakumba,’ ” 4 asema Bwana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Israel was holiness unto the LORD, and the firstfruits of his increase: all that devour him shall offend; evil shall come upon them, saith the LORD.

In Context

2“Nenda ukahubiri masikioni mwa watu wa Yerusalemu: 1 “ ‘Nakumbuka moyo wako wa uchaji katika ujana wako, 2 jinsi ulivyonipenda kama bibi arusi 1 na kunifuata katika jangwa lile lote, 2 katika nchi isiyopandwa mbegu. 1

4Sikia neno la Bwana, ee nyumba ya Yakobo, 2 nanyi nyote jamaa za nyumba ya Israeli.

Read all of Yeremia 2

Cross References

Exodus 4:22Kisha mwambie Farao, ‘Hili ndilo asemalo Bwana: Israeli ni mwanangu mzaliwa wa kwanza,

Exodus 22:29“Usiache kutoa sadaka kutoka ghala lako au mapipa yako. “Lazima unipe mzaliwa wa kwanza wa wana wako.

Numbers 18:12“Ninawapa mafuta ya zeituni yaliyo bora kuliko yote, na divai mpya iliyo bora kuliko zote na nafaka wanazompa Bwana kama malimbuko katika mavuno yao.

Deuteronomy 14:2kwa maana ninyi ni taifa takatifu kwa Bwana Mungu wenu. Bwana amewachagua ninyi kuwa taifa la kipekee kutoka mataifa yote juu ya uso wa dunia, mwe tunu yake.

Psalms 81:14ningaliwatiisha adui zao kwa haraka, 2 na kuugeuza mkono wangu dhidi ya watesi wao! 1

Psalms 105:25ndiye aliigeuza mioyo yao iwachukie watu wake, 2 wakatenda hila dhidi ya watumishi wake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 2:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 2:2Yeremia 2Yeremia 2:4 →