Yeremia 2:2
“Nenda ukahubiri masikioni mwa watu wa Yerusalemu: 1 “ ‘Nakumbuka moyo wako wa uchaji katika ujana wako, 2 jinsi ulivyonipenda kama bibi arusi 1 na kunifuata katika jangwa lile lote, 2 katika nchi isiyopandwa mbegu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Neno la Bwana lilinijia kusema,
Cross References
Exodus 14:31Basi Waisraeli walipoona uwezo mkubwa Bwana aliodhihirisha dhidi ya Wamisri, watu wakamwogopa Bwana na wakaweka tumaini lao kwake na kwa Mose mtumishi wake.
Exodus 24:3Mose alipokwenda na kuwaambia watu maneno yote na sheria zote za Bwana, wakaitikia kwa sauti moja, “Kila kitu alichosema Bwana tutakifanya.”
Deuteronomy 8:2Kumbuka jinsi Bwana Mungu wenu alivyowaongoza katika njia yote katika jangwa kwa miaka hii arobaini, kukunyenyekeza na kukujaribu ili ajue lililoko moyoni mwako, kwamba utayashika maagizo yake au la.
Deuteronomy 33:3Hakika ni wewe ambaye huwapenda watu, 2 watakatifu wako wote wamo mkononi mwako. 1 Miguuni pako wote wanasujudu 2 na kutoka kwako wanapokea mafundisho, 1
Proverbs 1:20Hekima huita kwa sauti kuu barabarani, 2 hupaza sauti yake kwenye viwanja vikubwa; 1
Song of Solomon 3:6Ni nani huyu anayekuja kutoka jangwani 2 kama nguzo ya moshi, 1 anayenukia manemane na uvumba 2 iliyotengenezwa kwa vikolezo vyote 2 vya mfanyabiashara? 1