Yeremia 2:30
“Nimeadhibu watu wako bure tu, 2 hawakujirekebisha. 1 Upanga wako umewala manabii wako 2 kama simba mwenye njaa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
29“Kwa nini mnaleta mashtaka dhidi yangu? 2 Ninyi nyote mmeniasi,” 4 asema Bwana. 1
Cross References
1 Kings 19:14Akajibu, “Nimeona wivu mwingi kwa ajili ya Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote. Waisraeli wamelikataa Agano lako, wamevunja madhabahu zako na kuwaua manabii wako kwa upanga. Ni mimi, mimi peke yangu, niliyebaki, nao sasa wananitafuta ili waniangamize.”
2 Chronicles 28:22Katika wakati wake wa mateso Mfalme Ahazi akazidi kukosa uaminifu kwa Bwana.
Nehemiah 9:26“Lakini hawakukutii nao wakaasi dhidi yako, wakatupa sheria zako nyuma yao. Wakawaua manabii wako, waliowaonya ili wakurudie, na wakafanya makufuru makubwa.
Isaiah 9:13Lakini watu hawajamrudia yeye aliyewapiga, 2 wala hawajamtafuta Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1
Jeremiah 6:29Mivuo inavuma kwa nguvu, 2 kinachoungua kwa huo moto ni risasi, 1 lakini pamoja na kusafisha kote huku ni bure; 2 waovu hawaondolewi. 1
Jeremiah 26:20(Wakati huu, Uria mwana wa Shemaya kutoka mji wa Kiriath-Yearimu alikuwa mtu mwingine aliyetoa unabii kwa jina la Bwana. Alitoa unabii juu ya mambo yaliyofanana na haya dhidi ya mji huu na nchi hii kama alivyofanya Yeremia.