2 Chronicles 28:22
Katika wakati wake wa mateso Mfalme Ahazi akazidi kukosa uaminifu kwa Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And in the time of his distress did he trespass yet more against the LORD: this is that king Ahaz.
In Context
Cross References
2 Chronicles 33:12Katika dhiki yake akamsihi Bwana Mungu wake na kujinyenyekeza sana mbele za Mungu wa baba zake.
Psalms 50:15na uniite siku ya taabu; 2 nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”
Isaiah 1:5Kwa nini mzidi kupigwa? 2 Kwa nini kudumu katika uasi? 1 Kichwa chako chote kimejeruhiwa, 2 moyo wako wote ni mgonjwa. 1
Ezekiel 21:13“ ‘Kwa maana upanga huu umejaribiwa na kuhakikishwa, itakuwaje basi fimbo ya ufalme ya Yuda inayoudharau kama haitakuwepo tena, bali itakuwa imeondolewa kabisa? asema Bwana Mwenyezi.’ 1
Revelation 16:9Watu wakaunguzwa na hilo joto kali, wakalaani Jina la Mungu, aliyekuwa na uwezo juu ya mapigo haya, tena wakakataa kutubu na kumtukuza Mungu.