Yeremia 2:37
Pia utaondoka mahali hapo 2 ukiwa umeweka mikono kichwani, 1 kwa kuwa Bwana amewakataa wale unaowatumainia; 2 hutasaidiwa nao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 14:41Lakini Mose akasema, “Kwa nini hamtii amri ya Bwana? Jambo hili halitafanikiwa!
2 Samuel 13:19Tamari akajitia majivu kichwani mwake na kurarua lile joho alilokuwa amevaa. Akaweka mkono wake kichwani, akaenda zake akilia kwa sauti.
Isaiah 10:4Hakutasalia kitu chochote, 2 isipokuwa kujikunyata miongoni mwa mateka, 2 au kuanguka miongoni mwa waliouawa. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1 Hukumu Ya Mungu Juu Ya Ashuru 1
Jeremiah 2:36Kwa nini unatangatanga sana, 2 kubadili njia zako? 1 Utakatishwa tamaa na Misri 2 kama ulivyokatishwa na Ashuru. 1
Jeremiah 22:20“Panda Lebanoni ukapige kelele, 2 sauti yako na isikike huko Bashani, 1 piga kelele toka Abarimu, 2 kwa kuwa wote waliojiunga nawe wameangamizwa. 1
Jeremiah 37:7“Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli: Mwambie mfalme wa Yuda aliyekutuma uniulize mimi, ‘Jeshi la Farao lililotoka kuja kukusaidia litarudi katika nchi yake yenyewe, yaani Misri.