Yeremia 37:7
“Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli: Mwambie mfalme wa Yuda aliyekutuma uniulize mimi, ‘Jeshi la Farao lililotoka kuja kukusaidia litarudi katika nchi yake yenyewe, yaani Misri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Ndipo neno la Bwana likamjia nabii Yeremia kusema:
8Kisha Wakaldayo watarudi na kushambulia mji huu, watauteka na kuuchoma moto.’
Cross References
2 Kings 24:7Mfalme wa Misri hakutoka tena katika nchi yake, kwa sababu mfalme wa Babeli alikuwa ameitwaa himaya yake yote, kuanzia Kijito cha Misri hadi Mto Frati. 1 Yehoyakini Mfalme Wa Yuda (2 Nyakati 36:9-10)
Isaiah 30:1Bwana asema, 2 “Ole kwa watoto wakaidi, 1 kwa wale wanaotimiza mipango ambayo si yangu, 2 wakifanya makubaliano, lakini si kwa Roho wangu, 2 wakilundika dhambi juu ya dhambi, 1
Isaiah 30:7kuvipeleka Misri, 2 ambaye msaada wake haufai kabisa. 1 Kwa hiyo nimemwita “Rahabu Asiyefanya Chochote.” 1
Isaiah 36:6Tazama sasa, unaitegemea Misri, fimbo ile ya mwanzi uliopasuka, ambayo huuchoma na kuujeruhi mkono wa mtu akiiegemea! Hivyo ndivyo alivyo Farao mfalme wa Misri, kwa wote wanaomtegemea.
Jeremiah 17:5Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Amelaaniwa yeye amtegemeaye mwanadamu, 2 ategemeaye mwenye mwili 2 kwa ajili ya nguvu zake, 1 ambaye moyo wake 2 umemwacha Bwana. 1
Jeremiah 37:3Hata hivyo, Mfalme Sedekia akamtuma Yehukali mwana wa Shelemia, pamoja na kuhani Sefania mwana wa Maaseya kwa nabii Yeremia na ujumbe huu: “Tafadhali utuombee kwa Bwana, Mungu wetu.”