Yeremia 20:7
Ee Bwana, umenidanganya, 2 nami nikadanganyika; 1 wewe una nguvu kuniliko, 2 nawe umenishinda. 1 Ninadharauliwa mchana kutwa, 2 kila mmoja ananidhihaki. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 11:11Akamuuliza Bwana, “Kwa nini umeleta taabu hii juu ya mtumishi wako? Nimekufanyia nini cha kukuchukiza hata ukaweka mzigo huu wa watu hawa wote juu yangu?
Job 30:9“Nao sasa wana wao wananidhihaki katika nyimbo; 2 nimekuwa kitu cha dhihaka kwao. 1
Psalms 35:15Lakini nilipojikwaa, 2 walikusanyika kwa shangwe; 1 washambuliaji walijikusanya dhidi yangu 2 bila mimi kujua. 2 Walinisingizia pasipo kukoma. 1
Psalms 69:12Wale wanaoketi mlangoni wananisimanga, 2 nimekuwa wimbo wa walevi. 1
Jeremiah 1:6Nami nikasema, “Aa, Bwana Mwenyezi, sijui kusema, kwani mimi ni mtoto mdogo tu.”
Jeremiah 15:10Ole wangu, mama yangu, kwamba ulinizaa, 2 mtu ambaye ulimwengu wote 2 unashindana na kugombana naye! 1 Sikukopa wala sikukopesha, 2 lakini kila mmoja ananilaani.