Ayubu 30:9
“Nao sasa wana wao wananidhihaki katika nyimbo; 2 nimekuwa kitu cha dhihaka kwao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And now am I their song, yea, I am their byword.
In Context
8Wao ni watoto wa wapumbavu wenye asili ya ubaya, 2 waliofukuzwa watoke katika nchi. 1
10Wananichukia sana na kujitenga nami, 2 wala hawasiti kunitemea mate usoni. 1
Cross References
Job 12:4“Nimekuwa mtu wa kuchekwa na rafiki zangu, 2 ingawa nilimwita Mungu naye akanijibu: 1 mimi ni mtu wa kuchekwa tu, 2 ingawa ni mwadilifu na nisiye na hatia! 1
Psalms 35:15Lakini nilipojikwaa, 2 walikusanyika kwa shangwe; 1 washambuliaji walijikusanya dhidi yangu 2 bila mimi kujua. 2 Walinisingizia pasipo kukoma. 1
Psalms 69:11Ninapovaa nguo ya gunia, 2 watu hunidharau. 1
Lamentations 3:14Nimekuwa kichekesho kwa watu wangu wote, 2 wananidhihaki kwa wimbo mchana kutwa. 1