The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 24 › Yeremia 24:2

Yeremia 24:2

Kikapu kimoja kilikuwa na tini nzuri sana, kama zile za mavuno ya kwanza. Kikapu cha pili kilikuwa na tini dhaifu sana, mbovu mno zisizofaa kuliwa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

One basket had very good figs, even like the figs that are first ripe: and the other basket had very naughty figs, which could not be eaten, they were so bad.

In Context

1Baada ya Yekonia + 24:1 Yekonia au Konia ni jina jingine la Yehoyakini. mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, pamoja na maafisa, mafundi stadi na wahunzi wa Yuda, kuchukuliwa kutoka Yerusalemu kwenda Babeli na Nebukadneza mfalme wa Babeli kwenda uhamishoni huko Babeli, Bwana akanionyesha vikapu viwili vya tini vilivyowekwa mbele ya Hekalu la Bwana.

3Kisha Bwana akaniuliza, “Je, Yeremia, unaona nini?” Nikamjibu, “Ninaona tini zile zilizo nzuri ni nzuri sana, lakini zilizo dhaifu ni mbovu mno zisizofaa kuliwa.”

Read all of Yeremia 24

Cross References

Numbers 18:13Malimbuko yote ya nchi ambayo wanamletea Bwana yatakuwa yenu. Kila mmoja nyumbani kwako ambaye ni safi kwa taratibu za Ibada anaweza kula.

Isaiah 5:7Shamba la mzabibu la Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 ni nyumba ya Israeli, 1 na watu wa Yuda 2 ni bustani yake ya kumpendeza. 1 Alitazamia haki, lakini akaona umwagaji damu, 2 alitazamia uadilifu, lakini akasikia vilio vya taabu. 1 Ole Na Hukumu 1

Jeremiah 29:17Naam, hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Nitatuma upanga, njaa na tauni dhidi yao, nami nitawafanya kuwa kama tini dhaifu zile ambazo ni mbovu sana zisizofaa kuliwa.

Hosea 9:10“Nilipompata Israeli, ilikuwa kama 2 kupata zabibu jangwani; 1 nilipowaona baba zenu, ilikuwa kama kuona 2 matunda ya kwanza katika mtini. 1 Lakini walipofika Baal-Peori, walijiweka wakfu 2 kwa ile sanamu ya aibu, 1 nao wakawa najisi 2 kama kitu kile walichokipenda. 1

Malachi 1:12“Lakini mnalinajisi Jina langu kwa kusema kuhusu meza ya Bwana, ‘Imetiwa unajisi pamoja na chakula chake. Ni ya kudharauliwa.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 24:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 24:1Yeremia 24Yeremia 24:3 →