The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 5 › Isaya 5:7

Isaya 5:7

Shamba la mzabibu la Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 ni nyumba ya Israeli, 1 na watu wa Yuda 2 ni bustani yake ya kumpendeza. 1 Alitazamia haki, lakini akaona umwagaji damu, 2 alitazamia uadilifu, lakini akasikia vilio vya taabu. 1 Ole Na Hukumu 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the vineyard of the LORD of hosts is the house of Israel, and the men of Judah his pleasant plant: and he looked for judgment, but behold oppression; for righteousness, but behold a cry.

In Context

6Nitalifanya nchi ya ukiwa isiyokaliwa na watu, 2 halitakatiwa matawi wala kulimwa, 1 nayo michongoma na miiba itamea huko, 2 nitaamuru mawingu yasinyeshe mvua juu yake.” 1

8Ole wenu mnaoongeza nyumba baada ya nyumba 2 na kuunganisha mashamba baada ya mashamba 1 hadi hakuna nafasi iliyobaki, 2 nanyi mnaishi peke yenu katika nchi. 1

Read all of Isaya 5

Cross References

Exodus 2:23Baada ya muda mrefu, mfalme wa Misri akafa. Waisraeli wakalia kwa huzuni katika utumwa wao, walilia na kilio chao cha kutaka msaada kwa ajili ya utumwa kikamfikia Mungu.

Exodus 22:21“Usimtendee mgeni vibaya au kumwonea, kwa kuwa nanyi mlikuwa wageni huko Misri.

Nehemiah 5:1Wakati huu wanaume na wake zao wakalia kilio kikuu dhidi ya ndugu zao Wayahudi.

Job 34:28Wamesababisha kilio cha maskini kifike mbele zake, 2 hivyo akasikia kilio cha wahitaji. 1

Psalms 80:15mche ulioupanda kwa mkono wako wa kuume, 1 mwana uliyemlea 2 kwa ajili yako mwenyewe. 1

Psalms 149:4Kwa maana Bwana anapendezwa na watu wake, 2 anawavika wanyenyekevu taji ya wokovu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 5:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 5:6Isaya 5Isaya 5:8 →