The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 27 › Yeremia 27:2

Yeremia 27:2

Hili ndilo Bwana aliloniambia: “Tengeneza nira, ujivike shingoni mwako, uifunge kwa kamba za ngozi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thus saith the LORD to me; Make thee bonds and yokes, and put them upon thy neck,

In Context

1Mwanzoni mwa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda, neno hili lilimjia Yeremia kutoka kwa Bwana:

3Kisha utume ujumbe kwa wafalme wa Edomu, Moabu, Amoni, Tiro na Sidoni kupitia wajumbe ambao wamekuja Yerusalemu kwa Sedekia mfalme wa Yuda.

Read all of Yeremia 27

Cross References

1 Kings 11:30naye Ahiya akachukua joho jipya alilokuwa amevaa akalirarua vipande kumi na viwili.

Isaiah 20:2wakati ule Bwana alisema kwa kinywa cha Isaya mwana wa Amozi. Akamwambia, “Vua nguo ya gunia kutoka mwilini mwako na viatu kutoka miguuni mwako.” Naye akafanya hivyo, akatembea huku na huko uchi, bila viatu.

Jeremiah 18:2“Shuka uende mpaka nyumba ya mfinyanzi, nami huko nitakupa ujumbe wangu.”

Jeremiah 25:21Edomu, Moabu na Amoni;

Jeremiah 28:10Kisha nabii Hanania akaiondoa nira iliyokuwa shingoni mwa Yeremia na kuivunja,

Ezekiel 4:1“Mwanadamu, sasa chukua tofali, uliweke mbele yako na uchore juu yake ramani ya mji wa Yerusalemu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 27:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 27:1Yeremia 27Yeremia 27:3 →