Jeremiah 25:21
Edomu, Moabu na Amoni;
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Edom, and Moab, and the children of Ammon,
In Context
22wafalme wote wa Tiro na Sidoni; wafalme wa nchi za pwani ngʼambo ya bahari;
Cross References
Psalms 137:7Kumbuka, Ee Bwana, walichokifanya Waedomu, 2 siku ile Yerusalemu ilipoanguka. 1 Walisema, “Bomoa, Bomoa 2 mpaka kwenye misingi yake!” 1
Isaiah 25:10Mkono wa Bwana utatulia juu ya mlima huu, 2 bali Moabu atakanyagwa chini 2 kama majani makavu yakanyagwavyo kwenye shimo la mbolea. 1
Isaiah 63:1Ni nani huyu anayekuja kutoka Edomu, 2 kutoka Bosra, mwenye mavazi yaliyotiwa madoa mekundu? 1 Ni nani huyu, aliyevikwa joho la kifahari, 2 anayetembea kwa ukuu wa nguvu zake? 1 “Mimi ndimi, nisemaye katika haki, 2 mwenye nguvu wa kuokoa.” 1
Jeremiah 27:2Hili ndilo Bwana aliloniambia: “Tengeneza nira, ujivike shingoni mwako, uifunge kwa kamba za ngozi.
Jeremiah 48:1Kuhusu Moabu: Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: 1 “Ole wake Nebo, kwa maana utaharibiwa. 2 Kiriathaimu utaaibishwa na kutekwa; 2 Misgabu itaaibishwa na kuvunjavunjwa. 1
Jeremiah 49:7Kuhusu Edomu: Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Je, hakuna tena hekima katika Temani? 2 Je, shauri limewapotea wenye busara? 2 Je, hekima yao imechakaa? 1