The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 28 › Yeremia 28:3

Yeremia 28:3

Katika muda wa miaka miwili nitavirudisha mahali hapa vyombo vyote vya nyumba ya Bwana ambavyo Nebukadneza mfalme wa Babeli aliviondoa kutoka hapa na kuvipeleka Babeli.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Within two full years will I bring again into this place all the vessels of the LORD’S house, that Nebuchadnezzar king of Babylon took away from this place, and carried them to Babylon:

In Context

2“Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli asemalo: ‘Nitaivunja nira ya mfalme wa Babeli.

4Pia nitamrudisha mahali hapa Yekonia + 28:4 Yekonia au Konia ni jina jingine la Yehoyakini. mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, pamoja na wote waliohamishwa kutoka Yuda ambao walikwenda Babeli,’ asema Bwana, ‘kwa kuwa nitaivunja nira ya mfalme wa Babeli.’ ”

Read all of Yeremia 28

Cross References

Genesis 47:28Yakobo akaishi Misri miaka kumi na saba, nayo miaka ya maisha yake ilikuwa 147.

2 Chronicles 36:7Nebukadneza akachukua pia vyombo kutoka Hekalu la Bwana na kuviweka katika hekalu lake + 36:7 Au: katika jumba lake la kifalme. huko Babeli.

Psalms 90:10Siku zetu za kuishi ni miaka sabini, 2 au miaka themanini ikiwa tuna nguvu, 2 lakini yote ni ya shida na taabu, 2 nazo zapita haraka, nasi twatoweka. 1

Daniel 1:2Bwana akamtia Yehoyakimu mfalme wa Yuda mkononi mwa Nebukadneza, pamoja na baadhi ya vyombo kutoka Hekalu la Mungu. Hivi akavichukua hadi kwenye hekalu la mungu wake huko Shinari, naye akaviweka nyumbani ya hazina ya mungu wake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 28:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 28:2Yeremia 28Yeremia 28:4 →