Yeremia 29:9
Wanawatabiria ninyi uongo kwa jina langu. Sikuwatuma,” asema Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For they prophesy falsely unto you in my name: I have not sent them, saith the LORD.
In Context
Cross References
Jeremiah 27:15‘Sikuwatuma hao,’ asema Bwana. ‘Wanatabiri uongo kwa jina langu. Kwa hiyo, nitawafukuzia mbali, nanyi mtaangamia, ninyi pamoja na manabii wanaowatabiria.’ ”
Jeremiah 29:23Kwa kuwa wamefanya mambo maovu kabisa katika Israeli, wamezini na wake za majirani zao, tena kwa Jina langu wamesema uongo, mambo ambayo sikuwaambia kuyafanya. Nami nayajua haya, na ni shahidi wa jambo hilo,” asema Bwana. 1 Ujumbe Kwa Shemaya
Lamentations 2:14Maono ya manabii wako 2 yalikuwa ya uongo na yasiyofaa kitu, 1 hawakuifunua dhambi yako 2 ili kukuzuilia kwenda utumwani. 1 Maneno waliyokupa 2 yalikuwa ya uongo na ya kupotosha. 1