Jeremiah 31:21
“Weka alama za barabara, 2 weka vibao vya kuelekeza. 1 Zingatia vyema njia kuu, 2 barabara ile unayoipita. 1 Rudi, ee Bikira Israeli, 2 rudi kwenye miji yako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:46akawaambia, “Yawekeni moyoni maneno yote ambayo nimewatangazia kwa makini siku hii ya leo, ili kwamba mpate kuwaagiza watoto wenu wayatii kwa bidii maneno yote ya sheria hii.
2 Chronicles 11:16Wale waliotoka katika kila kabila la Israeli ambao walielekeza mioyo yao kumtafuta Bwana, Mungu wa Israeli, wakawafuata Walawi huko Yerusalemu kumtolea Bwana dhabihu, Mungu wa baba zao.
Psalms 62:10Usitumainie vya udhalimu 2 wala usijivune kwa vitu vya wizi; 1 ingawa utajiri wako utaongezeka, 2 usiviwekee moyo wako. 1
Proverbs 24:32Nikatafakari moyoni mwangu lile nililoliona, 2 nami nikajifunza somo kutokana na niliyoyaona: 1
Isaiah 52:11Ondokeni, ondokeni, tokeni huko! 2 Msiguse kitu chochote kilicho najisi! 1 Tokeni kati yake mwe safi, 2 ninyi mchukuao vyombo vya Bwana. 1
Isaiah 62:10Piteni, piteni katika malango! 2 Tengenezeni njia kwa ajili ya watu. 1 Jengeni, jengeni njia kuu! 2 Ondoeni mawe. 1 Inueni bendera kwa ajili ya mataifa. 1