Isaya 62:10
Piteni, piteni katika malango! 2 Tengenezeni njia kwa ajili ya watu. 1 Jengeni, jengeni njia kuu! 2 Ondoeni mawe. 1 Inueni bendera kwa ajili ya mataifa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 17:15Mose akajenga madhabahu na kuiita Yehova Nisi. + 17:15 Yehova Nisi maana yake ni Bwana ni Bendera yangu.
Isaiah 11:10Katika siku hiyo, Shina la Yese atasimama kama bendera kwa ajili ya mataifa. Mataifa yatakusanyika kwake, na mahali pake pa kupumzikia patakuwa utukufu.
Isaiah 11:16Itakuwepo njia kuu kwa mabaki ya watu wake 2 wale waliosalia kutoka Ashuru, 1 kama ilivyokuwa kwa Israeli 2 walipopanda kutoka Misri.
Isaiah 35:8Nako kutakuwa na njia kuu, 2 nayo itaitwa Njia ya Utakatifu. 1 Wasio safi hawatapita juu yake; 2 itakuwa ya wale watembeao katika Njia ile; 1 yeye asafiriye juu yake, 2 ajapokuwa mjinga, hatapotea. 1
Isaiah 40:3Sauti ya mtu aliaye: 2 “Itengenezeni jangwani njia ya Bwana, 1 nyoosheni njia kuu nyikani 2 kwa ajili ya Mungu wetu. 1
Isaiah 48:20Tokeni huko Babeli, 2 kimbieni kutoka kwa Wakaldayo! 1 Tangazeni hili kwa kelele za shangwe 2 na kulihubiri. 1 Lipelekeni mpaka miisho ya dunia; 2 semeni, “ Bwana amemkomboa 2 mtumishi wake Yakobo.” 1