The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 33 › Yeremia 33:8

Yeremia 33:8

Nitawatakasa dhambi zote walizofanya dhidi yangu, na nitawasamehe dhambi zote za uasi dhidi yangu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I will cleanse them from all their iniquity, whereby they have sinned against me; and I will pardon all their iniquities, whereby they have sinned, and whereby they have transgressed against me.

In Context

7Nitawarudisha Yuda na Israeli kutoka nchi ya kutekwa kwao, na kuwajenga tena kama walivyokuwa hapo awali.

9Kisha mji huu utaniletea utukufu, furaha, sifa na heshima mbele ya mataifa yote ya dunia yatakayosikia mambo yote mazuri ninayoufanyia. Nao watashangaa na kutetemeka kwa ajili ya wingi wa mafanikio na amani nitakayoupatia.’

Read all of Yeremia 33

Cross References

Leviticus 16:30kwa sababu siku hii upatanisho utafanyika kwa ajili yenu ili kuwatakasa. Kisha mtakuwa safi mbele za Bwana kutokana na dhambi zenu zote.

Psalms 65:3Tulipokuwa tumefunikwa kabisa na dhambi, 2 wewe ulisamehe makosa yetu. 1

Psalms 130:8Yeye mwenyewe ataikomboa Israeli 2 kutoka dhambi zao zote.

Isaiah 44:22Nimeyafuta makosa yako kama wingu, 2 dhambi zako kama ukungu wa asubuhi. 1 Nirudie mimi, 2 kwa kuwa nimekukomboa wewe.” 1

Jeremiah 31:34Mtu hatamfundisha tena jirani yake, 2 wala mtu kumfundisha ndugu yake akisema, ‘Mjue Bwana Mungu,’ 1 kwa sababu wote watanijua mimi, 2 tangu aliye mdogo kabisa kwao, hadi aliye mkuu sana,” 4 asema Bwana. 1 “Kwa sababu nitasamehe uovu wao, 2 wala sitazikumbuka dhambi zao tena.”

Ezekiel 36:25Nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtakuwa safi, nitawatakasa kutoka uchafu wenu wote na kutoka sanamu zenu zote.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 33:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 33:7Yeremia 33Yeremia 33:9 →