Isaiah 44:22
Nimeyafuta makosa yako kama wingu, 2 dhambi zako kama ukungu wa asubuhi. 1 Nirudie mimi, 2 kwa kuwa nimekukomboa wewe.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:43Furahini, enyi mataifa, pamoja na watu wake, 2 kwa kuwa atailipiza damu ya watumishi wake, 1 atalipiza kisasi juu ya adui zake 2 na kufanya upatanisho 2 kwa ajili ya nchi na watu wake.
Nehemiah 4:5Usiusitiri uovu wao, wala usifute dhambi zao mbele zako, kwa kuwa wamewatukana wajenzi mbele.
Psalms 51:1Ee Mungu, unihurumie, 2 kwa kadiri ya upendo wako usiokoma, 1 kwa kadiri ya huruma yako kuu, 2 uyafute makosa yangu. 1
Psalms 103:12kama mashariki ilivyo mbali na magharibi, 2 ndivyo Mungu alivyoziweka dhambi zetu mbali nasi. 1
Psalms 130:8Yeye mwenyewe ataikomboa Israeli 2 kutoka dhambi zao zote.
Isaiah 1:27Sayuni itakombolewa kwa haki, 2 wale waliomo ndani yake waliotubu kwa uaminifu. 1