Jeremiah 39:2
Katika siku ya tisa ya mwezi wa nne wa mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Sedekia, ukuta wa mji ulibomolewa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 25:3Ilipowadia siku ya tisa ya mwezi wa nne, njaa ikazidi kuwa kali sana ndani ya mji, hadi hapakuwa na chakula kwa ajili ya watu.
Jeremiah 5:10“Piteni katika mashamba yake ya mizabibu na kuyaharibu, 2 lakini msiangamize kabisa. 1 Pogoeni matawi yake, 2 kwa kuwa watu hawa sio wa Bwana. 1
Ezekiel 33:21Mwaka wa kumi na mbili wa uhamisho wetu, mwezi wa kumi, siku ya tano, mtu aliyekuwa ametoroka kutoka Yerusalemu akanijia na kusema, “Mji wa Yerusalemu umeanguka!”
Zephaniah 1:10Bwana asema, “Katika siku hiyo 2 kilio kitapanda juu kutoka lango la Samaki, 2 maombolezo kutoka mtaa wa pili, 2 na mshindo mkubwa kutoka vilimani. 1