Jeremiah 39:3
Kisha maafisa wote wa mfalme wa Babeli wakaja na kuketi kwenye Lango la Kati, nao ni: Nergal-Shareza wa Samgari, Nebo-Sarsekimu afisa mkuu, Nergal-Shareza afisa mwenye cheo cha juu, na maafisa wengine wote wa mfalme wa Babeli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Jeremiah 1:15Nitawaita watu wote wa falme za kaskazini,” asema Bwana. 1 “Wafalme wao watakuja na kuweka viti vyao vya enzi 2 katika maingilio ya malango ya Yerusalemu, 1 watakuja dhidi ya kuta zake zote zinazouzunguka, 2 na dhidi ya miji yote ya Yuda. 1
Jeremiah 38:17Kisha Yeremia akamwambia Sedekia, “Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: ‘Ikiwa utajisalimisha kwa maafisa wa mfalme wa Babeli, maisha yako yatasalimika, na mji huu hautateketezwa kwa moto. Pia wewe na jamaa yako mtaishi.