Yeremia 40:2
Kiongozi wa walinzi alipomwona Yeremia, akamwambia, “ Bwana Mungu wako aliamuru maafa haya kwa mahali hapa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 29:24Mataifa yote yatauliza: “Kwa nini Bwana amefanya hivi juu ya nchi hii? Kwa nini hasira hii kali ikawaka?”
2 Chronicles 7:20ndipo nitakapoingʼoa Israeli kutoka nchi yangu niliyowapa, nami nitalikataa Hekalu hili nililolitakasa kwa ajili ya Jina langu. Nitalifanya kitu cha kudharauliwa na kitu cha kudhihakiwa miongoni mwa watu wote.
Jeremiah 22:8“Watu kutoka mataifa mengi watapitia karibu na mji huu na kuulizana, ‘Kwa nini Bwana amefanya jambo la namna hii juu ya mji huu mkubwa?’
Jeremiah 50:7Yeyote aliyewakuta aliwala; 2 adui zao walisema, ‘Sisi hatuna hatia, 1 kwa kuwa wao walitenda dhambi dhidi ya Bwana, malisho yao halisi, 2 Bwana, aliye tumaini la baba zao.’ 1