The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 40 › Yeremia 40:1

Yeremia 40:1

Neno likamjia Yeremia kutoka kwa Bwana baada ya Nebuzaradani kiongozi wa walinzi wa mfalme kumfungua huko Rama. Alikuwa amemkuta Yeremia akiwa amefungwa kwa minyororo miongoni mwa mateka wote kutoka Yerusalemu na Yuda waliokuwa wakipelekwa uhamishoni Babeli.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The word that came to Jeremiah from the LORD, after that Nebuzar-adan the captain of the guard had let him go from Ramah, when he had taken him being bound in chains among all that were carried away captive of Jerusalem and Judah, which were carried away captive unto Babylon.

In Context

2Kiongozi wa walinzi alipomwona Yeremia, akamwambia, “ Bwana Mungu wako aliamuru maafa haya kwa mahali hapa.

Read all of Yeremia 40

Cross References

1 Samuel 7:17Lakini kila mara alirudi Rama, kulikokuwa nyumbani kwake, huko pia aliwaamua Israeli. Naye huko alimjengea Bwana madhabahu.

Psalms 68:6Mungu huwaweka wapweke katika jamaa, 2 huwaongoza wafungwa wakiimba, 2 bali waasi huishi katika nchi kame. 1

Jeremiah 31:15Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Sauti imesikika huko Rama, 2 maombolezo na kilio kikubwa, 1 Raheli akiwalilia watoto wake 2 na anakataa kufarijiwa, 2 kwa sababu watoto wake hawako tena.”

Jeremiah 39:11Basi, Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa ametoa maagizo kuhusu Yeremia kupitia Nebuzaradani kiongozi wa walinzi wa mfalme akisema:

Acts 12:6Usiku ule kabla ya siku ambayo Herode Agripa alikuwa amekusudia kumtoa na kumfanyia mashtaka, Petro alikuwa amelala kati ya askari wawili, akiwa amefungwa kwa minyororo miwili. Nao walinzi wa zamu walikuwa wakilinda penye lango la gereza.

Acts 28:20Basi hii ndiyo sababu nimewatumania, ili niseme nanyi. Kwa kuwa ni kwa ajili ya tumaini la Israeli nimefungwa kwa minyororo.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 40:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Yeremia 40Yeremia 40:2 →