The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 42 › Yeremia 42:7

Yeremia 42:7

Baada ya siku kumi, neno la Bwana likamjia Yeremia.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And it came to pass after ten days, that the word of the LORD came unto Jeremiah.

In Context

6Likiwa jema au likiwa baya, tutamtii Bwana Mungu wetu, ambaye tunakutuma kwake, ili mambo yote yawe mema kwetu, kwa maana tutamtii Bwana Mungu wetu.”

8Kwa hiyo akawaita pamoja Yohanani mwana wa Karea, na maafisa wote wa jeshi waliokuwa pamoja naye na watu wote kuanzia mdogo kabisa hadi aliye mkuu sana.

Read all of Yeremia 42

Cross References

Isaiah 28:16Kwa hiyo hivi ndivyo Bwana Mwenyezi asemavyo: 1 “Tazama, ninaweka jiwe katika Sayuni, 2 jiwe lililojaribiwa, 1 jiwe la pembeni la thamani kwa ajili ya msingi thabiti. 2 Yeye atumainiye kamwe hatatiwa hofu. 1

Habakkuk 2:3Kwa kuwa ufunuo huu unasubiri wakati uliokubalika; 2 unazungumzia mambo ya mwisho, 2 na kamwe hautakosea. 1 Iwapo utakawia, wewe usubiri; 2 kwa hakika utakuja na hautachelewa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 42:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 42:6Yeremia 42Yeremia 42:8 →