The Bible Software
bible.softwareYeremiaYeremia 43 › Yeremia 43:13

Yeremia 43:13

Humo ndani ya hekalu la jua + 43:13 Yaani Heliopoli (Mji wa Jua). nchini ya Misri atabomoa nguzo za ibada, na kuteketeza kwa moto mahekalu ya miungu wa Misri.’ ”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He shall break also the images of Beth-shemesh, that is in the land of Egypt; and the houses of the gods of the Egyptians shall he burn with fire.

In Context

12Atachoma moto mahekalu yao ya miungu ya Misri, atachoma mahekalu yao na kuteka miungu yao. Kama vile mchungaji ajizungushiavyo vazi lake ndivyo atakavyojizungushia Misri na kuondoka mahali hapo bila kudhurika.

Read all of Yeremia 43

Cross References

Genesis 41:45Farao akamwita Yosefu Safenath-Panea, pia akampa Asenathi binti Potifera, kuhani wa mji wa Oni, + 41:45 Yaani Heliopoli (Mji wa Jua). kuwa mke wake. Ndipo Yosefu akaitembelea nchi yote ya Misri.

Isaiah 19:18Katika siku hiyo miji mitano ya Misri, itazungumza lugha ya Kanaani, na kuapa kumtii Bwana Mwenye Nguvu Zote. Mji mmojawapo utaitwa Mji wa Uharibifu. + 19:18 Yaani Heliopoli (Mji wa Jua).

Jeremiah 25:19pia Farao mfalme wa Misri, watumishi wake, maafisa wake na watu wake wote,

Ezekiel 30:13“ ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “ ‘Nitaangamiza sanamu 2 na kukomesha vinyago katika Memfisi + 30:13 Kiebrania ni Nofu. 1 Hapatakuwepo tena na mkuu katika nchi ya Misri, 2 nami nitaeneza hofu katika nchi nzima. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 43:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 43:12Yeremia 43