Ezekieli 30:13
“ ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “ ‘Nitaangamiza sanamu 2 na kukomesha vinyago katika Memfisi + 30:13 Kiebrania ni Nofu. 1 Hapatakuwepo tena na mkuu katika nchi ya Misri, 2 nami nitaeneza hofu katika nchi nzima. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 19:1Neno kuhusu Misri: 1 Tazama, Bwana amepanda juu ya wingu liendalo kwa haraka 2 naye anakuja Misri. 1 Sanamu za Misri zinatetemeka mbele yake, 2 nayo mioyo ya Wamisri inayeyuka ndani yao. 1
Jeremiah 10:11“Waambie hivi: ‘Miungu hii, ambayo haikuumba mbingu na dunia, itaangamia kutoka dunia na kutoka chini ya mbingu.’ ” 1
Jeremiah 43:13Humo ndani ya hekalu la jua + 43:13 Yaani Heliopoli (Mji wa Jua). nchini ya Misri atabomoa nguzo za ibada, na kuteketeza kwa moto mahekalu ya miungu wa Misri.’ ”
Jeremiah 46:14“Tangaza hili katika Misri, nawe ulihubiri katika Migdoli, 2 hubiri pia katika Memfisi + 46:14 Memfisi kwa Kiebrania ni Nofu. na Tahpanhesi: + 46:14 Ni mji katika Misri. 1 ‘Shikeni nafasi zenu na mwe tayari, 2 kwa kuwa upanga unawala wale wanaokuzunguka.’ 1
Jeremiah 46:25Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asema: “Nakaribia kuleta adhabu juu ya Amoni mungu wa Thebesi, + 46:25 Thebesi kwa Kiebrania ni No (au No-Amoni), mji katika Misri. na juu ya Farao, Misri na miungu yake, na wafalme wake, pamoja na wale wanaomtegemea Farao.
Hosea 9:6Hata ikiwa wataokoka maangamizi, 2 Misri atawakusanya, 2 nayo Memfisi + 9:6 Memfisi kwa Kiebrania ni Nofu. itawazika. 1 Hazina zao za fedha zitasongwa na michongoma, 2 nayo miiba itafunika mahema yao. 1