Jeremiah 44:21
“Je, Bwana hakukumbuka na kufikiri juu ya uvumba uliofukizwa katika miji ya Yuda na barabara za Yerusalemu na ninyi pamoja na baba zenu, wafalme wenu, maafisa wenu na watu wa nchi?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Ndipo Yeremia akawaambia watu wote, wanaume na wanawake waliokuwa wakimjibu,
Cross References
1 Kings 17:18Akamwambia Eliya, “Una nini dhidi yangu, ewe mtu wa Mungu? Umekuja ili kukumbushia dhambi yangu na kusababisha kifo cha mwanangu?”
Isaiah 64:9Ee Bwana, usikasirike kupita kiasi, 2 usizikumbuke dhambi zetu milele. 1 Ee Bwana, utuangalie, twakuomba, 2 kwa kuwa sisi sote tu watu wako. 1
Jeremiah 14:10Hili ndilo Bwana asemalo kuhusu watu hawa: 1 “Wanapenda sana kutangatanga, 2 hawaizuii miguu yao. 1 Hivyo Bwana hawakubali; 2 sasa ataukumbuka uovu wao 2 na kuwaadhibu kwa ajili ya dhambi zao.”
Jeremiah 44:17Hakika tutafanya kila kitu tulichosema tutakifanya: Tutafukiza uvumba kwa Malkia wa Mbinguni na tutammiminia sadaka zetu za kinywaji kama vile sisi na baba zetu, wafalme wetu na maafisa wetu tulivyofanya katika miji ya Yuda na katika barabara za Yerusalemu. Wakati ule tulikuwa na chakula tele, tulikuwa matajiri wala hatukupata dhara lolote.
Ezekiel 16:24Ukajijengea jukwaa na kujifanyia mahali pa fahari pa ibada za miungu kwenye kila uwanja wa mikutano.
Hosea 7:2lakini hawafahamu kwamba 2 ninakumbuka matendo yao yote mabaya. 1 Dhambi zao zimewameza, 2 ziko mbele zangu siku zote. 1