Isaiah 64:9
Ee Bwana, usikasirike kupita kiasi, 2 usizikumbuke dhambi zetu milele. 1 Ee Bwana, utuangalie, twakuomba, 2 kwa kuwa sisi sote tu watu wako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Miji yako mitakatifu imekuwa jangwa; 2 hata Sayuni ni jangwa, Yerusalemu ni ukiwa. 1
Cross References
2 Kings 25:9Alichoma moto Hekalu la Bwana, jumba la kifalme, na nyumba zote za Yerusalemu. Aliteketeza kila jengo muhimu.
Psalms 38:1Ee Bwana, usinikemee katika hasira yako, 2 wala kuniadhibu katika ghadhabu yako. 1
Psalms 79:5Hata lini, Ee Bwana? Je, wewe utakasirika milele? 2 Wivu wako utawaka kama moto hadi lini? 1
Psalms 79:13Ndipo sisi watu wako, kondoo wa malisho yako, 2 tutakusifu milele; 1 toka kizazi hadi kizazi 2 tutasimulia sifa zako.
Isaiah 43:25“Mimi, naam mimi, ndimi nizifutaye dhambi zako, 2 kwa ajili yangu mwenyewe, 2 wala sizikumbuki dhambi zako tena. 1
Isaiah 60:10“Wageni watazijenga upya kuta zako, 2 na wafalme wao watakutumikia. 1 Ingawa katika hasira nilikupiga, 2 lakini katika upendeleo wangu 2 nitakuonyesha huruma. 1