Yeremia 45:2
“Hili ndilo Bwana, Mungu wa Israeli, akuambialo wewe Baruku:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thus saith the LORD, the God of Israel, unto thee, O Baruch;
In Context
Cross References
Isaiah 63:9Katika taabu zao zote naye alitaabika, 2 na malaika wa uso wake akawaokoa. 1 Katika upendo wake na rehema zake aliwakomboa, 2 akawainua na kuwachukua siku zote zilizopita. 1
2 Corinthians 1:4Yeye hutufariji katika taabu zetu, ili tuweze kuwafariji walio katika taabu yoyote kwa faraja ambayo sisi wenyewe tumepokea kutoka kwa Mungu.
Hebrews 2:18Kwa kuwa yeye mwenyewe aliteswa alipojaribiwa, aweza kuwasaidia wale wanaojaribiwa.