Yeremia 45:3
Ulisema, ‘Ole wangu! Bwana ameongeza huzuni juu ya maumivu yangu, nimechoka kwa kulia kwa uchungu wala sipati pumziko.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2“Hili ndilo Bwana, Mungu wa Israeli, akuambialo wewe Baruku:
Cross References
Genesis 37:34Kisha Yakobo akararua nguo zake, akavaa nguo ya gunia na kumwombolezea mwanawe kwa siku nyingi.
Numbers 11:11Akamuuliza Bwana, “Kwa nini umeleta taabu hii juu ya mtumishi wako? Nimekufanyia nini cha kukuchukiza hata ukaweka mzigo huu wa watu hawa wote juu yangu?
Job 16:11Mungu amenigeuzia kwa watu wabaya, 2 na kunitupa katika makucha ya waovu. 1
Psalms 6:6Nimechakaa kwa kulia kwa huzuni; 2 usiku kucha nafurikisha 2 kitanda changu kwa machozi; 1 nimelowesha viti vyangu vya fahari 2 kwa machozi. 1
Psalms 27:13Nami bado nina tumaini hili: 2 nitauona wema wa Bwana 2 katika nchi ya walio hai. 1
Psalms 69:3Nimechoka kwa kuomba msaada, 2 koo langu limekauka. 1 Macho yangu yanafifia, 2 nikimtafuta Mungu wangu. 1