The Bible Software
bible.softwareJeremiahJeremiah 46 › Jeremiah 46:13

Jeremiah 46:13

Huu ndio ujumbe Bwana aliomwambia nabii Yeremia kuhusu kuja kwa Nebukadneza mfalme wa Babeli ili kuishambulia Misri: 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The word that the LORD spake to Jeremiah the prophet, how Nebuchadrezzar king of Babylon should come and smite the land of Egypt.

In Context

12Mataifa yatasikia juu ya aibu yako, 2 kilio chako kitaijaza dunia. 1 Shujaa mmoja atajikwaa juu ya mwingine, 2 nao wataanguka chini pamoja.”

14“Tangaza hili katika Misri, nawe ulihubiri katika Migdoli, 2 hubiri pia katika Memfisi + 46:14 Memfisi kwa Kiebrania ni Nofu. na Tahpanhesi: + 46:14 Ni mji katika Misri. 1 ‘Shikeni nafasi zenu na mwe tayari, 2 kwa kuwa upanga unawala wale wanaokuzunguka.’ 1

Read all of Jeremiah 46

Cross References

Isaiah 19:1Neno kuhusu Misri: 1 Tazama, Bwana amepanda juu ya wingu liendalo kwa haraka 2 naye anakuja Misri. 1 Sanamu za Misri zinatetemeka mbele yake, 2 nayo mioyo ya Wamisri inayeyuka ndani yao. 1

Jeremiah 43:10Kisha uwaambie, ‘Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: Nitamtumania mtumishi wangu Nebukadneza mfalme wa Babeli, nami nitakiweka kiti chake cha enzi juu ya haya mawe niliyoyazika hapa, naye atatandaza hema yake ya ufalme juu yake.

Jeremiah 44:30Hili ndilo asemalo Bwana: ‘Nitamtia Farao Hofra mfalme wa Misri mikononi mwa adui zake wanaoutafuta uhai wake, kama vile nilivyomtia Sedekia mfalme wa Yuda mikononi mwa Nebukadneza mfalme wa Babeli, adui aliyekuwa akiutafuta uhai wake.’ ”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jeremiah 46:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jeremiah 46:12Jeremiah 46Jeremiah 46:14 →